Afrika Mashariki

Afrika Mashariki

  NAIROBI, KENYA Inaelezwa kwamba uchaguzi mkuu wa Kenya uliofanyika juzi ni miongoni mwa chaguzi ghali zaidi Barani Afrika. Gharama za uchaguzi huo zinatarajiwa kufikia Dola za...

  NAIROBI, KENYA UCHAGUZI Mkuu wa Kenya umefanyika juzi huku amani ikitamalaki kwenye maeneo mengi ya nchi hiyo, kinyume na ilivyotarajiwa. Hatua hiyo inafuta na kuondoa dhana...

Teknolojia imeendelea kuwa kitovu cha maendeleo ya jamii yetu kwa kurahisisha na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi. Kukua kwa teknolojia katika nyanja mbalimbali za...

Ikiwa ni miaka 20 tangu kuanza kwake kutoa huduma kwa wananchi katika masuala ya kifedha, Benki ya Exim imejipanga kutanua wigo wake wa kibiashara...

NA ABRAHAM GWANDU ARUSHA TANZANIA na Kenya ndio wachangiaji wakubwa wa fedha zinazoiwezesha Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) ijiendeshe katika majukumu yake ya kila...

NA HILAL K. SUED KUANZIA miaka ya 1920, Serikali za kikoloni wa Kiingereza zilizokuwa zikitawala nchi hizi tatu za ukanda wa Afrika ya Mashariki (Tanganyika...

TUNU NASSOR NA MANENO SELANYIKA JUMUIYA ya Afrika Mashariki ilianzishwa ikiwa na malengo mengi, likiwamo la kujikomboa kiuchumi kwa nchi wanachama.  Malengo hayo yalikuwa ni kupunguza...

NA JIMMY CHARLES NCHI sita zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), tayari zimo ndani ya umoja wa forodha kwa miaka zaidi ya 10 sasa. Umoja huo...

Na Peter Kasera MWANZA ni moja ya mikoa inayokuwa kiuchumi kwa kasi, sababu kubwa ikiwa ni jiografia yake. Ukiwa ndani ya Mwanza ni rahisi kufika  Entebbe,...

  NA BALINAGWE MWAMBUNGU WAVULANA wawili waligongana kwa msichana mmoja na kila mvulana alipeleka barua ya posa. Msichana huyo anajulikana kwa jina la Bomba binti Mafuta,...