Afrika Mashariki

Afrika Mashariki

NA ABRAHAM GWANDU ARUSHA WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki - EAU walikutana wiki iliyopita jijini Arusha na kujadili masuala kadhaa...

TANGU mwaka 2004 kumekuwa na harakati za Tanzania kutaka kuwa na vazi lake la taifa, lakini juhudi hizo zinaonekana kushindikana, huku sababu za msingi...

NA JIMMY CHARLES NCHI sita zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), tayari zimo ndani ya umoja wa forodha kwa miaka zaidi ya 10 sasa. Umoja huo...

USHINDANI wa kiuchumi katika nchi wanachama za Afrika amshariki umezidi kuibuka. Nchi za Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini zinatafuta masoko kwa...

NA HILAL K. SUED KUANZIA miaka ya 1920, Serikali za kikoloni wa Kiingereza zilizokuwa zikitawala nchi hizi tatu za ukanda wa Afrika ya Mashariki (Tanganyika...

KUNA usemi mmoja katika lugha ya Kiiengerza usemao “Being prolific does not mean one is an accomplished person” - yaani mtu wa harakati nyingi...

  Na Igamanywa Laiton MWANAFALSAFA Aesop aliyeishi kati ya mwaka 620 na 564 nchini Ugiriki alipata kusimulia kisa kimoja juu ya simba na fahari wanne waliokuwa...

SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), imetajwa kuwa ndicho kipimo kizuri cha kuupima utendaji wa viongozi wa ChaAma Cha Wananchi - CUF. Kwamba...

NAIROBI, KENYA Mwishoni mwa mwezi ulipita Padre Thomas Nahimana wa Kanisa la Kikatoliki alizuiliwa kupanda ndege katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Nairobi akielekea Kigali, Rwanda. Nahimana...

USHINDANI wa kisiasa uliojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unatajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya mabadiliko waliyonayo...