Afrika Mashariki

Afrika Mashariki

NAIROBI, KENYA Mwishoni mwa mwezi ulipita Padre Thomas Nahimana wa Kanisa la Kikatoliki alizuiliwa kupanda ndege katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Nairobi akielekea Kigali, Rwanda. Nahimana...

NAIROBI, KENYA Ikiwa ni saa 48 tu tangu usaili wa kwanza wa kutafuta kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya ufanyike, Mwenyekiti...

Machakos, Kenya Ni kweli imetokea. Inawezekana kuchekesha au kufikirisha lakini wiki iliyopita Seneta asiyeisha vituko wa Nairobi, nchini Kenya alijitangaza kuwa ndiye Kaimu Rais hali...

Na Igamanywa Laiton KATIKA toleo lililopita tulieleza kuwa wakuu wa nchi za Afrika wana ajenda ya kuanzisha pasipoti moja ifikapo mwaka 2063. Kwa mujibu wa Mkuu...

  Na Igamanywa Laiton MWANAFALSAFA Aesop aliyeishi kati ya mwaka 620 na 564 nchini Ugiriki alipata kusimulia kisa kimoja juu ya simba na fahari wanne waliokuwa...

Na Mwandishi Wetu, Nairobi KUTOKANA na kile kinachoonekana kama mwamko mpya miongoni mwa vijana wanaojitokeza kwa wingi kila kukicha na kutishia kusikilizwa la sivyo wafanye...

Na Ilankunda Timu, WIKI iliyopita tulielezea makosa mbalimbali yaliyowahi kufanywa na Rais Jomo Kenyatta wakati wa utawala wake. Aidha, tulibainisha namna suala la ukabila lilivyojenga...

Na Franklin victor MOJA kati ya vitu vinavyowaweka roho juu Waafrika wengi ni demokrasia kipindi cha uchaguzi mkuu, hasa wakati muhimu wa kumtangaza mshindi wa...

USHINDANI wa kiuchumi katika nchi wanachama za Afrika amshariki umezidi kuibuka. Nchi za Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudani Kusini zinatafuta masoko kwa...

FARAJA MASINDE NA MASHIRIKA MAMBO si shwari nchini Kenya. Nchi hiyo hivi sasa inaandamwa na changamoto ya uchumi kutokana na benki kadhaa kudaiwa kuanguka katika...