Afrika Mashariki

Afrika Mashariki

BUJUMBURA, BURUNDI JUMUIYA ya nchi zinazozungumza Kifaransa imefikia uamuzi kuisimaisha uanachama Burundi kufuatia kudorora kwa hali ya usalama na ukiukwaji wa haki za binadamu,  huku...

NA ABRAHAM GWANDU ARUSHA WAKUU wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki - EAU walikutana wiki iliyopita jijini Arusha na kujadili masuala kadhaa...

KINSHASA, DRC UPEPO mbaya umezidi kuvuma kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Joseph Kabila. Upepo huo ni kuhusiana na ukomo wa madaraka yake...

BUJUMBURA, BURUNDI MACHAFUKO yanayoendelea nchini Burundi yamezidisha wasiwasi wa kupanuka zaidi mgogoro wa nchi hiyo. Ripoti zinasema kuwa makundi ya waasi yameshambulia vituo vitatu vya...

TANGU mwaka 2004 kumekuwa na harakati za Tanzania kutaka kuwa na vazi lake la taifa, lakini juhudi hizo zinaonekana kushindikana, huku sababu za msingi...

MOJA kati ya tatizo linalowakabili watawala tulionao Tanzania na barani Afrika kwa ujumla, ni kutokuwa tayari kukiri kushindwa hata kama nchi inaonekana dhahiri kushindwa...

SUALA la Muungano baina ya iliyokuwa nchi huru ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar iliyounda taifa kwa jina jamhuri ya muungano wa Tanzania limekuwa...

OKTOBA 25 mwaka huu ni siku ambayo Uchaguzi Mkuu wa urais, ubunge na udiwani utafanyika nchini kote. Hii ni siku maridhawa ambayo kila Mtanzania...

KUNA usemi mmoja katika lugha ya Kiiengerza usemao “Being prolific does not mean one is an accomplished person” - yaani mtu wa harakati nyingi...

TANZANIA ina ukubwa wa eneo la ardhi mita za mraba milioni 364,915. Kenya ina ukubwa wa mita za mraba milioni 224,962, Uganda mita za...