Habari kuu

Habari kuu

NA MWANDISHI WETU KAULI za hivi karibuni za dhidi ya baadhi ya mawaziri pamoja na ukimya wake katika kujaza nafasi mbili za Waziri na...

NA GABRIEL MUSHI UJIO wa wajumbe 13 uliotua nchini mapema wiki hii kwa ajili ya kuanza majadiliano na Serikali kuhusu uchimbaji na usafirishaji nje wa...

NA GABRIEL MUSHI WAZIRI wa Fedha wa zamani, Basil Pesambili Mramba amesema kwa sasa ana amani ya kutosha kutokana na uamuzi wake wa kujiweka kando...

NA GABRIEL MUSHI SPIKA wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai amesema amechoka kuvumilia utovu wa nidhamu unaofanywa na baadhi ya wabunge. RAI lnaripoti. Kutokana na kuchoka...

NA GABRIEL MUSHI, BAADHI ya wasomi na wanasiasa wameanza kuwajaza hofu Watanzania wengi juu ya kuwapo uwezekano wa kuwashinda wawakilishi wa kampuni ya Barrick Gold...

NA GABRIEL MUSHI, RIPOTI ya Kamati ya pili ya kuchunguza usafirishaji wa makinikia nje ya nchi  iliyokabidhiwa mwanzoni mwa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati...

*Mbowe atajwa NA GABRIEL MUSHI NI dhahiri uteuzi wa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira, kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro unakiweka njia panda chama...

NA MWANDISHI WETU KUSALIA wazi kwa nafazi  ya Waziri, Naibu Waziri, Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa wilaya kunatajwa kuwa dalili ya Rais Dk. John...

NA MWANDISHI WETU MAUAJI ya kutumia silaha za moto yanayowakumba viongozi wa kisiasa na Serikali yanayoendelea Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, yanaonekana kumwingiza kwenye majaribu...

NA MWANDISHI WETU IDADI kubwa ya Watanzania walioko katika elimu ya ngazi ya Msingi na Sekondari nchini wako katika hatari ya kupata elimu duni iwapo...