Habari

Habari

Na Mwandishi Wetu MWENENDO wa kisiasa nchini unaonekana kumsukuma Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, , kuongeza nguvu za kimapambano ndani ya kundi la vyama vinavyounda...

NA MANENO SELANYIKA HARAKATI za kupambana na watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, ambazo zilianzishwa na Mkuu wa Mkoa huo,...

NA GABRIEL MUSHI MWANASHERIA Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu anaonekana kuwa janga ndani ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), hali...

Jumanne iliyopita, MTANZANIA gazeti ‘dada’ la RAI, lilikuwa na habari moja ya kusikitisha kuhusu sekta ya elimu nchini. Liliandika wanafunzi 728 wa shule ya msingi...

Na Grace Shitundu KATIKA kuhakikisha Watanzania wanafaidi fursa zilizomo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Serikali imepunguza vizuizi 47 vya ukaguzi ili kurahisisha mazingira...

NA MWANDISHI WETU SIKU chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, kuwashangaza watu kwa hatua yake ya kukaa meza moja na hasimu wake...

NA OSCAR ASSENGA, TANGA MOJAWAPO ya kundi ambalo limeathiriwa pakubwa na matumizi ya dawa za kulevya hata na kujihusisha na tabia chafu zikiwamo za mapenzi...

NA HAPPY JOSEPH, KILIMANJARO BINAFSI naunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na dawa za kulevya kama zinavyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...

NA MWANDISHI WETU, MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, anayetajwa kuwa na nguvu kubwa kwa upande wa Bara, sasa anatajwa kufanikiwa kukivuruga...

Na Waandishi Wetu Rais wa 45 wa Marekani Donald Trump ambaye ameapishwa kuongoza nchi hiyo Januari 20 mwaka huu, ametangaza hali ya hatari Rai linafafanua. Trump...