Habari

Habari

NA MWANDISHI WETU IDADI kubwa ya Watanzania walioko katika elimu ya ngazi ya Msingi na Sekondari nchini wako katika hatari ya kupata elimu duni iwapo...

  NA MWANDISHI WETU HATUA ya hivi karibuni ya serikali ya Rais John Magufuli kupiga marufuku maandamano na mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa inatajwa...

NA MWANDISHI WETU, WINGU zito limezidi kutanda baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, kumhukumu kwenda jela miaka 15 Askari Polisi Pacificus Simon, kwa kosa la kumuua...

  NA MWANDISHI WETU MSANII wa muziki wa kizazi kipya ambaye pia ni mwigizaji wa filamu za Kibongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, amekuwa na ndoto za kufikia...

NA SHABANI MATUTU MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amejikuta akitumia zaidi ya saa moja kuwashawishi wajumbe wa Kamati Kuu (CC)...

Uteuzi wa wakuu wa mikoa, watendaji na hotuba zake vyabeba ujumbe mkali Utabiri wa Nyerere juu ya mamlaka ya kidikteta ya Rais waonekana kutimia NA MWANDISHI...

NA GABRIEL MUSHI TANGU kuapishwa kwake Novemba 5 mwaka jana kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli ameonekana kuwa na mwenendo...

NA MWANDISHI WETU KASI ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli imeonekana kuvutia idadi kubwa ya wananchi wa nchi mbalimbali duniani ambao sasa wanawashinikiza viongozi wao kuiga mwenendo wake kiutendaji. Wiki tano za Rais Magufuli madarakani, zimesababisha baadhi...

SHABANI MATUTU NA GABRIEL MUSHI, MWELEKEO wa Bajeti ya kwanza ya Serikali ya awamu ya tano ya mwaka wa fedha wa 2016/17 inatazamwa kuwa chungu...

THE HAGUE, UHOLANZI RAIS wa 45 wa Marekani, Donald Trump anaweza kukutana na balaa la serikali yake kuburuzwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya...