Habari

Habari

Na Grace Shitundu KATIKA kuhakikisha Watanzania wanafaidi fursa zilizomo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Serikali imepunguza vizuizi 47 vya ukaguzi ili kurahisisha mazingira...

NA MWANDISHI WETU, MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, anayetajwa kuwa na nguvu kubwa kwa upande wa Bara, sasa anatajwa kufanikiwa kukivuruga...

ELIAS MSUYA, DODOMA KIMYA cha Rais John Magufuli juu ya mgogoro wa uchaguzi wa Zanzibar, kimemsababishia kulaumiwa na idadi kubwa ya wabunge wa Bunge la...

*Wanaomhofia wamwanzishia mizengwe, watumia jina la JK ili kufanikisha mipango yao NA MWANDISHI WETU SASA ni dhahiri utendaji, utumbuaji wa majipu na ufuatiliaji wa mambo wa...

NA FARAJA MASINDE MWENYEKITI wa Chama cha UDP, John Momose Cheyo amesema wiki hii ni mbaya sana kwa Watanzania kutokana na kufariki dunia kwa wanasiasa...

  Na Mwandishi Wetu MWAKA mmoja wa uongozi wa Rais John Magufuli unaotarajiwa kukamilika Novemba 5, mwaka huu unatajwa kuwa na tija kubwa kiuchumi, kidiplomasia na...

Na MWANDISHI WETU WANAOMSHAURI Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako wanamdanganya. Hivyo ndivyo baadhi ya wasomi na watu wa kada mbalimbali wanavyosema. Hoja hiyo imekuja baada...

NA NASHON KENNEDY, HIVI karibuni jijini Dar es Salaam kulitokea vurugu zilizohusisha makundi mawili ya Chama cha Wananchi- CUF zilizosababisha baadhi ya wanachama wa chama...

NA JUSTIN DAMIAN WAKATI ripoti ya hali ya uchumi iliyotolewa na Benki ya Duniani (WB) hivi karibuni ikionyesha uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi kuliko...

NA HAPPY JOSEPH, KILIMANJARO BINAFSI naunga mkono juhudi za Serikali za kupambana na dawa za kulevya kama zinavyofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...