Habari

Habari

NA SHABANIMATUTU SABABU za Rais Dk. John Magufuli kuchelewa kulitangaza Baraza la Mawaziri zimewekwa hadharani. Rais Magufuli ameweka rekodi ya kuchelewa kutangaza Baraza lake la Mawaziri, ambapo hadi kufi kia leo atakuwa ameshafanya kazi bila watendaji...

NA MWANDISHI WETU CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeahidi kumtetea na kumlinda Rais John Magufuli katika harakati zake za kuleta mabadiliko ndani ya Serikali na hata pale atakapokabidhiwa chama. Ahadi hiyo imetolewa na...

NA MWANDISHI WETU MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Wananchi –CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ametoa mbinu mbadala zitakazosaidia kuwanyoosha watendaji wote wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA). Profesa Lipumba ambaye ni msomi wa uchumi, amesema mbinu pekee...

USHINDANI wa kisiasa uliojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, pamoja na mambo mengine, unatajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya mabadiliko waliyonayo...

SERIKALI ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar (SUK), imetajwa kuwa ndicho kipimo kizuri cha kuupima utendaji wa viongozi wa ChaAma Cha Wananchi - CUF. Kwamba...

MATOKEO ya utafiti kuhusu Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu yaliyotolewa na Taasisi ya Twaweza yameibua mjadala mkubwa katika maeneo mbalimbali ya...

NENO kwata maana yake ni mazoezi ya kuvinyosha viungo vya mwili. Aidha, kwata ni drili au taburu, yaani mchezo wa gwaride la kiaskari au...

“Kati ya majimbo hayo, 127 tuko vizuri na 78 tunahitaji tu kuendelea kuyatetea kwa maana kiutafiti na kitaswira ya mazingira ni wazi tumeshashinda, ila...