Habari

Habari

NA GABRIEL MUSHI, MWENYEKITI Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva amefichua mambo mbalimbali aliyokumbana nayo katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa...

NA GABRIEL MUSHI SHUTUMA, matamko, mijadala na hoja mbalimbali zinazotolewa na kuibuliwa na watu wa kada tofauti tofauti kwenye vyombo vya habari na mitandao ya...

NA BAKARI KIMWANGA KADA wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sophia Simba ambaye amevuliwa uanachama mwishoni mwa wiki iliyopita kwa madai ya usaliti,...

GABRIEL MUSHI NA MANENO SELANYIKA KAULI na matamko kadhaa yaliyopata kutolewa na Rais Dk. John Magufuli katika siku za hivi karibuni, yametajwa kuwa ni hatua...

NA FLORENCE SANAWA, MTWARA RAIS John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewataka makada wa chama hicho kuacha kupigana vita na...

SOUL, KOREA YA KUSINI “Niko tayari kuachia uendeshaji wa kampuni iwapo kutakuwepo mtu mwingine mwenye uwezo zaidi ya mimi kuiendesha.” Hii ni kauli ya Lee Jae-yong,...

NA MWANDISHI WETU MGOMBEA Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Tundu Lissu amesema kuwa msukumo wake wa kuwania nafasi hiyo umetokana na baadhi...

Na CHARLES MULLINDA MAISHA ya Waziri wa Nishati na Madini, yanadaiwa kuwa hatarini kutokana na kuwindwa na baadhi ya watu aliokataa kuwaidhinishia mikataba ya kufanya...

Na Mwandishi Wetu MWENENDO wa kisiasa nchini unaonekana kumsukuma Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, , kuongeza nguvu za kimapambano ndani ya kundi la vyama vinavyounda...

NA MANENO SELANYIKA HARAKATI za kupambana na watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, ambazo zilianzishwa na Mkuu wa Mkoa huo,...