WAZIRI Anna Tibaijuka; Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Nianze kwa kukupongeza. Sipendi kuwa mchoyo wa pongezi hizi. Nakupongeza kwa sababu, vikao vya bunge vilivyopita, mawaziri wenzako wengi wamesutwa kiasi kwamba, wengine walikuwa wanaficha nyuso zao kwa viganja kupunguza aibu.
Wamesutwa kwamba wamewasaliti Watanzania, wamehujumu na kwamba