KWANI Spika wa Bunge, Anne Makinda, anahitaji kufungwa ‘luku’? Na ni ya nini kwa Mama huyu mheshimiwa sana? Usiulize kulikoni na amefanya nini? Si hivi majuzi ameibua mjadala ambao watu wanaojiita wa mhimili wa nne, yaani waheshimiwa wa tasnia ya habari, wameona kuwa mjadala huo hauwezi kupita vivi hivi bila kuujadili!
Siasa
Spika Makinda anahitaji kufungwa ‘luku’?
Kitoweo kinapomfanya DC awe bubu!
UNAWEZA ukadhani ni utani lakini ukweli ni kwamba ‘kitoweo’, hasa nyama, kina historia ndefu sana katika maisha ya binadamu, na mara zote nyama imekuwa chanzo cha malumbano, masimango na hata kukosana miongoni mwa wanajamii.
Tumfanye nini Kamanda Suleiman Kova?
KUNA walioshuhudia kikao cha Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) kilichoitishwa kuanzia Agosti 26 hadi Septemba 4 mwaka 2002. Hii ni miaka zaidi ya 10 iliyopita. Kikao hiki kilikuwa kinaitwa Kikao cha Dunia Kuhusu Maendeleo Endelevu (World Summit on Sustainable Development -WSSD) ambacho kilifanyika katika jiji la Johannesburg, Afrika Kusini.
Ya gesi yageuka kama ya kuchoma makanisa!
*Kwa nini baraka hii itutoe maini?
ETI kila kukicha sakata la gesi linaingia katika hatua mpya! Sasa watendaji wakuu wa CCM - Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye - wameitaka Serikali ikae na wana-Mtwara ili kuona namna ya kumaliza mgogoro huo kwa amani.
Burudani ya mnyukano wa waziri na waziri mwenzake!
NI buruani tosha, eti? Ni ‘burudani’ hasa ikitiliwa maanani kuwa waziri anamnyuka waziri mwenzake kwa maneno hadharani! Kwani vipi? Eh bwana wee, wakati kufungiwa kwa hoteli za kifahari jijini Dar es Salaam kulipochukua sura mpya mwishoni mwa mwaka jana, yaani mwishoni mwa mwezi uliopita, Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, alimshangaa, kumsuta na kumshambulia waziri mwenzake!
Makala zaidi...
- Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania: Udhibiti wa uhalifu kupitia simu uko wapi?
- Kumbe mashetani ni bora kuliko Watanzania !
- Eh! Wabunge wanalewa wakati wa vikao?
- Nani ananunua aibu kwa bei ghali?
Kurasa 1 kati ya 2
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- Mbele
- Mwisho
- »