Rai

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size

Elimu

Kwenye nuru hii kuna waliogizani - mwisho

Print PDF

LEO tunafikia tamati ya mada yetu tuliyoianza mara tu baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuzindua Rasimu ya Katiba mpya, kwa kiasi nimeeleza mtazamo wangu katika baadhi ya vifungu katika Rasimu hiyo nikiomba ama virekebishwe au kupendekeza jambo fulani kuingizwa kwenye Rasimu.

Pinda jiandae kupokea sababu zifuatazo…..(2)

Print PDF

Kufeli Kidato cha Nne 2012
WIKI iliyopita katika safu hii nilielezea mambo kadhaa ambayo nimeyabaini kuwa ni chanzo cha wanafunzi kufanya vibaya katika mitihani ya kidato cha nne mwaka 2012. Mambo hayo yalitokana na utafiti binafsi ambao nimeufanya katika mikoa mbalimbali nchini.

Morani hafunzwi kwa Kikurya

Print PDF

MWANAFUNZI Christina Godfrey wa kidato cha nne Shule ya Sekondari ya Kamene katika makala yake iliyochapishwa katika gazeti dada na hili la Mtanzania toleo la Ijumaa Aprili 12, 2013 amedai bila ya kumung’unya maneno kwamba Kiswahili hakijawa tayari kufundishia.

Tunaukwepa ukweli kwa hoja hafifu ya viboko shuleni

Print PDF

MJADALA wa kutafuta suluhu ya ongezeko la kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne sasa umeshika kasi, na kila mwenye fursa ya kufanya hivyo anatimiza wajibu wake wa kutoa maoni yake.

Tusiposimamia mageuzi tutabaki kulalama tu

Print PDF

BAADA ya kujadili kwa kiasi fulani utendaji kazi wa waandishi na vyombo vya habari nchini kwa muda wa wiki kadhaa sasa, nimeona upo umuhimu wa kuhitimisha kwa walau kujadili yale ambayo naamini ni mambo ambayo yakizingatiwa yataweza kusaidia kuboresha utendaji katika vyombo vyetu vya habari.

Makala zaidi...

  • Umumiani unatumika ‘kuibaka’ tasnia ya habari
  • Tunajimaliza wenyewe kwa mchezo tunaocheza (i)
  • Pinda unapindisha mambo, mchawi ni Serikali
  • Ualimu taaluma mama isiyo na mtetezi

Kurasa 1 kati ya 3

  • «
  •  Mwanzo 
  •  Nyuma 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  Mbele 
  •  Mwisho 
  • »

Waliotutembelea