*Ataendelea kuwa Rais pekee aliyedumu madarakani kwa kipindi kirefu zaidi Zanzibar
WANAZUONI wanasema umri mkubwa ni neema ambayo binadamu amejaaliwa na Mwenyezi Mungu, kwa hivyo unatakiwa kutumika kwa kufanya mema.
Makala
Mzee Aboud Jumbe atimiza miaka 93
Kwenye nuru hii kuna waliogizani - mwisho
LEO tunafikia tamati ya mada yetu tuliyoianza mara tu baada ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba kuzindua Rasimu ya Katiba mpya, kwa kiasi nimeeleza mtazamo wangu katika baadhi ya vifungu katika Rasimu hiyo nikiomba ama virekebishwe au kupendekeza jambo fulani kuingizwa kwenye Rasimu.
Miaka 11 ya kifo cha Mufti Hemed bin Jumaa bin Hemed - 1
*Waislamu wakosa mwelekeo
*Weledi, busara, hekima vyapungua
NI miaka 11 na nusu sasa tangu Tanzania impoteze mwanazuoni mkubwa wa dini ya Kiislamu ambaye hajawahi kuwa na mfano nchini na nchi za jirani ukiondoa wale waliokuwepo karne ya 17 na 18.
Tumeukana ukweli, maovu yanashamiri
EDMUND Burke (1729 -1797) ni jina maarufu hasa katika nyanja za kifalsafa na sheria. Zaidi ya hapo ni mwanaharakati wa kupigiwa mfano, mwandishi nguli hasa katika harakati za kupigania na kudai haki za binadamu.
Ufisadi rafiki yake uhaba, adui yake ufanisi
KWANGU dhana ya ufisadi na uchawi ni pande mbili za sarafu. Inaanza na wazo chafu linalotokana na roho mbaya, iliyojaa ubinafsi, uchoyo, tamaa, chuki, wivu, ulaghai, ukatili, roho isiyoridhika wala kukinai na yenye husda. Kama tunavyojua wazo huzaa neno na neno huzaa tendo. Kama kuna mtu yuko tayari kukusikiliza na kukusaidia kutekeleza ubaya huo, ndipo ufisadi/uchawi unapojidhihirisha.
Makala zaidi...
- Staili za utawala na amani ya taifa letu (1)
- Kunani nyuma ya tamko la wazee wa Kimasai?
- RASIMU YA KATIBA: Muungano gani kila nchi iwe na madaraka kamili?
- Khanga ya Mombasa huzeeka na upya wake
Kurasa 1 kati ya 23
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- Mbele
- Mwisho
- »