Latest News

Latest News

NA GRACE SHITUNDU KUWA  mama ni jambo la asili kwa mwanamke  na huwa ni furaha na  faraja anapopata mtoto lakini huwa ni huzuni na masikitiko...

NA MARKUS MPANAGALA, MARA nne nimemsikia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akibainisha kuwa atagombea urais ifikapo mwaka 2020. Lowassa ni mwanachama wa Chadema na...

NA GABRIEL MUSHI, WAKATI Taasisi na Idara za Serikali zikikana kuhusika na vichwa 15 vya treni vilivyoingia nchini bila mkataba wowote, RAI limebaini kuwa mmiliki...

NA MWANDISHI WETU MWENENDO wa kiutendaji na kimaamuzi wa Rais Dk. John Magufuli sasa unatumika kama turufu ya kusaka kura za wananchi nchini Kenya. Uchaguzi wa...

NA GABRIEL MUSHI, RIPOTI ya Kamati ya pili ya kuchunguza usafirishaji wa makinikia nje ya nchi  iliyokabidhiwa mwanzoni mwa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati...

Na Safina Sarwatt ,Kilimanjaro, ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadick ameweka wazi kuwa ameamua kwa hiyari yake kuacha kazi kwa sababu amechoka...

NA MWANDISHI WETU IDADI kubwa ya Watanzania walioko katika elimu ya ngazi ya Msingi na Sekondari nchini wako katika hatari ya kupata elimu duni iwapo...

NA MWANDISHI WETU, SASA ni dhahiri sekeseke la vyeti feki linatikisa nchi kutokana na moto wake kuunguza maeneo muhimu ya huduma  za jamii. RAI linachambua. Zoezi...

NA GABRIEL MUSHI, MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amekiri kuwapo kwa makosa katika  kutangaza zabuni ya ukusanyaji ushuru wa maegesho ya...

Ukuaji katika biashara ni jambo ambalo kila mjasiriliamali angetamani kuliona likitokea katika uwekezaji wake. Ukuaji huo wa kibiashara kwa ujumla wake hutegemea ukuaji na...