Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

OSLO, NORWAY NCHINI Norway mishahara ya watu si kitu cha siri. Mtu yeyote anaweza kujua mshahara gani mtu yeyote anapata na hili halileti matatizo yoyote. Huko...

NAIROBI, KENYA Uchaguzi mkuu wa Kenya mwezi ujao (August 8) unatarajiwa kuwa miongoni mwa chaguzi ghali zaidi Barani Afrika. Gharama za uchaguzi huo zinatarajiwa kufikia Dola...

NA HILAL k. SUED, Katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita hali ya ushirikiano wa vyama vya upinzani Barani Afrika umekuwa ukikua, kupata nguvu...

NAIROBI, KENYA Zikiwa zimebaki siku 48 kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya Rais aliye madarakani Uhuru Kenyatta na mgombea wa muungano wa vyama vya upinzani...

NA MWANDISHI WETU, Wachambuzi wa mambo ya kijeshi wameibua maswali mazito kuhusu athari za baadaye za mikakati ya mifumo miwili ya zana za kijeshi ambazo...

NA HILAL K SUED Wakati dunia inashuhudia hali ya kutishiana misuli kati ya nchi ndogo ya Korea ya Kaskazini na Marekani, hali ambayo imeleta hofu...

Raia mmoja wa Australia amefungua kesi katika mahakama moja mjini Brisbane Australia dhidi ya shirika la ndege la Abu Dhabi Etihad – akidai alipwe...

NA HILAL K SUED, Yapo matukio mengi nje ya mipaka yetu yanayofaa kufahamika kwani mengi huelezea namna baadhi ya mataifa machache yanayojifanya “mataifa teule” yanavyojitahidi...

HARARE, ZIMBABWE Makamu wa Rais wa zamani wa Zimbabwe Joice Mujuru alikuwa swahiba mkubwa sana wa kisiasa wa Rais Robert Mugabe. Alikuwa mstari wa mbele...

MOSCOW, RUSSIA Kwa mara ya kwanza Vladimir Putin alishinda urais nchini Russia tarehe 26 Machi 2000. Na wiki iliyopita, miaka 17 kamili baadaye maelfu ya...