Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

CAPE TOWN, SOUTH AFRICA Siku moja kabla ya Bunge la Afrika ya Kusini kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma Jumanne iliyopita,...

NA HILAL K SUED August 15,mwaka huu India na Pakistan zinaadhimisha miaka 70 tangu zipate uhuru kutoka kwa Wakoloni wa Kiingereza. Kabla ya kujikomboa nchi...

NA HILAL K SUED KATIKA hotuba yake baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani, Januari mwaka huu, Rais Donald Trump, aliahidi kuirudishia nchi...

OSLO, NORWAY NCHINI Norway mishahara ya watu si kitu cha siri. Mtu yeyote anaweza kujua mshahara gani mtu yeyote anapata na hili halileti matatizo yoyote. Huko...

NAIROBI, KENYA Uchaguzi mkuu wa Kenya mwezi ujao (August 8) unatarajiwa kuwa miongoni mwa chaguzi ghali zaidi Barani Afrika. Gharama za uchaguzi huo zinatarajiwa kufikia Dola...

NA HILAL k. SUED, Katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita hali ya ushirikiano wa vyama vya upinzani Barani Afrika umekuwa ukikua, kupata nguvu...

NAIROBI, KENYA Zikiwa zimebaki siku 48 kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya Rais aliye madarakani Uhuru Kenyatta na mgombea wa muungano wa vyama vya upinzani...

NA MWANDISHI WETU, Wachambuzi wa mambo ya kijeshi wameibua maswali mazito kuhusu athari za baadaye za mikakati ya mifumo miwili ya zana za kijeshi ambazo...

NA HILAL K SUED Wakati dunia inashuhudia hali ya kutishiana misuli kati ya nchi ndogo ya Korea ya Kaskazini na Marekani, hali ambayo imeleta hofu...

Raia mmoja wa Australia amefungua kesi katika mahakama moja mjini Brisbane Australia dhidi ya shirika la ndege la Abu Dhabi Etihad – akidai alipwe...