Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

NA TOBIAS NSUNGWE, UPEPO wa kisiasa unavyoendelea hivi sasa duniani umenifanya nisiamini tena msemo umsemao mwanamke akiwezeshwa anaweza. Sasa nimebaini wanawake wakifanya juhudi na kuungwa...

NA YONA MARO RICHARD Sorge anahesabika kama jasusi mwerevu kuliko wote katika karne ya 20. Jasusi huyo Mrusi na mwalimu wa hujuma alifanya kazi dunia...

Na Yona Maro MWAKA 2014, Bunge la Marekani lilipitisha sheria ya kuacha kutegemea injini za Urusi kwa ajili ya safari za anga za juu kuanzia...

NA CHRYSOSTOM RWEYEMAMU, RAILA Odinga anatoka katika moja ya familia maarufu kisiasa nchini Kenya. Baba yake, marehemu Jaramogi Oginga Odinga, alikuwa mmojawapo wa watu muhimu...

NA SAIDI MSONGA PICHA iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha watu wanaojitanabahisha kama kundi la Dola la Kiislamu imezua gumzo na mijadala mipana. Watu hao...

NEW YORK, MAREKANI KAMPENI za kuwania kuteuliwa ndani ya vyama vya siasa nchini Marekani imepamba moto. Vyama viwili vya Democratic na Republican vina wanasiasa wanaochuana...

NA IGAMANYWA LAITON, NI miaka 102 sasa imepita tangu kijana mdogo wa Kiserbia alipofanya kitendo ambacho laiti angejua madhara yake asingethubutu kufanya. Kama vile baruti...

MOSCOW, RUSSIA KITENDO cha Rais Vladmir Putin kuzishambulia kwa maneno nchi za Ulaya Magharibi pamoja na washirika wao kimetafsiriwa kama kurudisha vita baridi iliyoshuhudiwa kutokea...

Na Franklin Victor WAKATI siasa katika baadhi ya nchi 54 mwanachama wa Umoja wa Afrika – AU imekuwa vita hatari ya kubaki madarakani au kupata...

Na Mwandishi Wetu KABLA ya mwaka 1920 hakukuweko na nchi iitwayo Tanganyika. Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa...