Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

NA HILAL K SUED, Yapo matukio mengi nje ya mipaka yetu yanayofaa kufahamika kwani mengi huelezea namna baadhi ya mataifa machache yanayojifanya “mataifa teule” yanavyojitahidi...

MICHUANO ya klabu Bingwa Barani Ulaya inaendelea wiki ijayo, huku kukiwa na mtihani mgumu kwa klabu za England kujiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu...

Na Sidi Mgumia, aliyekuwa Madrid KATIKA mataifa yaliyoendelea, nafasi ya Meya hupewa thamani kubwa kutokana na umuhimu wa mtu huyo katika jiji au Manispaa. Hata hivyo...

Na Yona Maro MWAKA 2014, Bunge la Marekani lilipitisha sheria ya kuacha kutegemea injini za Urusi kwa ajili ya safari za anga za juu kuanzia...

Na William Shao KATIKA toleo lililopita tulieleza kuwa utondoti wa matukio ya ‘kigaidi’ ya Septemba 11, 2001 unaweza kumwongoza anayetumia akili ya kawaida kung’amua kwamba...

Na Mwandishi Wetu KABLA ya mwaka 1920 hakukuweko na nchi iitwayo Tanganyika. Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa...

Raia mmoja wa Australia amefungua kesi katika mahakama moja mjini Brisbane Australia dhidi ya shirika la ndege la Abu Dhabi Etihad – akidai alipwe...

JONAS MUSHI NA MITANDAO, HILLARY  Clinton anaweza kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mgombea urais wa Chama cha Democratic ambapo vyombo vya habari nchini Marekani vimetangaza...

NA HILAL K SUED Jumatatu iliyopita wagombea wawili wa urais wa Marekani walishiriki katika mdahalo wao wa kwanza wa kampeni, mdahalo ambao ulitarajiwa kuangaliwa na...

MWANDISHI WETU NA MITANDAO USIKU wa leo, klabu ya Manchester United itacheza mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Europa dhidi...