Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

NA HILAL K SUED, Yapo matukio mengi nje ya mipaka yetu yanayofaa kufahamika kwani mengi huelezea namna baadhi ya mataifa machache yanayojifanya “mataifa teule” yanavyojitahidi...

HARARE, ZIMBABWE Makamu wa Rais wa zamani wa Zimbabwe Joice Mujuru alikuwa swahiba mkubwa sana wa kisiasa wa Rais Robert Mugabe. Alikuwa mstari wa mbele...

MOSCOW, RUSSIA Kwa mara ya kwanza Vladimir Putin alishinda urais nchini Russia tarehe 26 Machi 2000. Na wiki iliyopita, miaka 17 kamili baadaye maelfu ya...

NA CHRYSOSTOM RWEYEMAMU, RAILA Odinga anatoka katika moja ya familia maarufu kisiasa nchini Kenya. Baba yake, marehemu Jaramogi Oginga Odinga, alikuwa mmojawapo wa watu muhimu...

  NA HILAL K SUED WANAZUONI wa Kiingereza wengi wa historia kuhusu iliyokuwa Dola yao ya Uingereza wamekuwa wakikwepa kuandika ukweli mmoja, kwamba Dola yao hiyo...

  JOHANNESBURG Taifa la Afrika ya Kusini linapita katika misukosuko mikubwa kama ilivyonekana wiki iliyopita wakati rais Jacob Zuma alipokwenda Bungeni kulihutubia kwa kutoa hotuba ya...

NA HILAL K. SUED KUANZIA miaka ya 1920, Serikali za kikoloni wa Kiingereza zilizokuwa zikitawala nchi hizi tatu za ukanda wa Afrika ya Mashariki (Tanganyika...

NA HILAL K. SUED, Baada ya muongo mmoja wa nguvu za kijeshi kushindwa kukisambaratisha kikundi cha Al-Shabaab chini Somalia, kuna mawazo kutoka sehemu mbali mbali...

NA HILAL K SUED, Marekani ya Rais Donald Trump haiwezi kuishi katika ombwe. Ni lazima nchi nyingine zinapiga hesabu na kujiweka sawa kuvuna kwa ujio...

NA HILAL K. SUED, Bara la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara lina jumuiya tatu kuu za kikanda zinazoshikisha nchi za kanda zao – Jumiya...