Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

LAGOS, NIGERIA KWA mtazamo wa awali, maandamano yaliyofanyika katika uwanja wa mpira wa chuo kimoja katika mji wa Aba, kusini mashariki mwa Nigeria yalionekana ni...

SEOUL, KOREA KUSINI Ni wazi kuwa Rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye yupo kikaangoni akisubiri miujiza. Rais huyo kwa hali ya kisiasa ilivyo nchini mwake,...

LIMA, PERU Rais wa Marekani Barack Obama, ameiambia dunia akiwa Amerika ya Kusini kuwa, dunia isimtakie mabaya Rais Mteule wa nchi hiyo, Donald Trump, bali...

NA HILAL K SUED BAADA ya kutopendezwa kwa hatua ya kuhamwa kwa mamilioni ya wapigakura ambao mwaka 2012 walimpa kura Barack Obama – hasa wale...

NEW YORK, MAREKANI MAPEMA wiki hii Marekani imependekeza kuwa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Dk. Riek Machar, kiongozi wa jeshi la nchi hiyo...

Kenya inafanya uchaguzi Mkuu mwakani huku tayari ikiwa imepitisha mabadiliko makubwa katika Tume yake ya uchaguzi. Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kenya,...

Mtumishi mwingine wa umma nchini Marekani, kafukuzwa kazi kutokana na kusambaza katika mitandao ya kijamii andiko lenye maudhui ya kibaguzi dhidi ya mke wa...

Tangu utawala wa Rais  Franklin Delano Roosevelt, marais wa Marekani wamekuwa wakipimwa kufuatia mafanikio wanayokuwa wameyafikia katika kipindi cha siku 100 za kwanza za...

Mapema mwezi huu uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanyika. Uchaguzi huu unalenga kuziba nafasi ya Katibu Mkuu anayemaliza muda wake, Ban...

ABUJA, NIGERIA WAFUATILIAJI wa mambo ya siasa za Afrika wanajiuliza, je, kinachoikumba sasa familia ya Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ni mpambano wa kisiasa ndani...