Makala Kimataifa

Makala Kimataifa

HANOI, VIETNAM MAPEMA wiki hii Rais wa Marekani Barack Obama, amefanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini  Vietnam wakati anaanza ziara ya wiki moja...

Na Yona Maro MWAKA 2014, Bunge la Marekani lilipitisha sheria ya kuacha kutegemea injini za Urusi kwa ajili ya safari za anga za juu kuanzia...

KAMPALA, UGANDA ZIMWI la mapinduzi lililowahi kuliandamana bara la afrika katika kipindi cha miaka 50 iliyopita kwa sasa limepungua. Hakuna mapinduzi ya jeshi katika nchi...

Na Mwandishi Wetu KABLA ya mwaka 1920 hakukuweko na nchi iitwayo Tanganyika. Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa...

Na William Shao KATIKA toleo lililopita tulieleza kuwa utondoti wa matukio ya ‘kigaidi’ ya Septemba 11, 2001 unaweza kumwongoza anayetumia akili ya kawaida kung’amua kwamba...

NA YONA MARO RICHARD Sorge anahesabika kama jasusi mwerevu kuliko wote katika karne ya 20. Jasusi huyo Mrusi na mwalimu wa hujuma alifanya kazi dunia...

Na William Shao KATIKA mfululizo wa makala zangu katika toleo lililopita, nilionyesha kile kinachonifanya nisiamini hata kidogo—kwa mujibu wa vyanzo vingi vya habari—kuwa Mohamed Atta...

NA SAIDI MSONGA PICHA iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha watu wanaojitanabahisha kama kundi la Dola la Kiislamu imezua gumzo na mijadala mipana. Watu hao...

Na Sidi Mgumia, aliyekuwa Madrid KATIKA mataifa yaliyoendelea, nafasi ya Meya hupewa thamani kubwa kutokana na umuhimu wa mtu huyo katika jiji au Manispaa. Hata hivyo...

NA ABDULLAH MBAROUK ABDULLAH CHINA ni nchi inayoendelea au la? Swali hili ni miongoni mwa maswali yaliyojadiliwa sana na jumuiya ya kimataifa katika miaka kadhaa. Baadhi...