Makala

Makala

Na Mwandishi Wetu ‘Separate But Equal’ (Gawanya Lakini Sawa) ni sheria ya Marekani, iliyowekwa baada ya hukumu ya Mahakama Kuu, iliyotolewa Mei 18, 1896, kugongelea...

Hali ya baridi kali haizuii Norway kujivunia hali ya kuwa nchi yenye furaha kuliko nchi nyingine zote duniani, kufuatana na ripoti ya Umoja wa...

KAMPALA, UGANDA Februari 20, mwaka huu, Yoweri Kaguta Museveni alitangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha kuwania urais kwa mara ya tano mfululizo. Hata hivyo, iwapo Museveni...

NA NASHON KENNEDY WAKATI nasoma shule ya msingi na sekondari, mimi na wanafunzi wenzangu tuliwaheshimu na kuwaogopa sana walimu kuliko hata wazazi wetu. Kuna wakati mama...

NA MARKUS MPANGALA NIMEMSIKILIZA kwa makini Rais wa Benki ya Dunia, DK. Jim Yong Kim, katika hotuba aliyoitoa Machi 20, mwaka huu eneo la Ubungo...

KENYA kuna mgomo wa madaktari, kuna mgogoro mkubwa wa madaktari dhidi ya serikali yao lakini Tanzania tumekubali kuingilia ugomvi wao. Je, tunajua gharama ya...

KUNA aina mbalimbali za ulevi, upo ulevi wa vinywaji vikali, dawa za kulevya na miraa, hata hivyo ulevi mbaya zaidi katika vilevi vyote ni...

NA EMMANUEL SHILATU TAKRIBANI miaka 56 sasa baada ya uhuru, CCM imeendelea kuliongoza Taifa letu lenye watu zaidi ya milioni 45 (kwa mujibu wa sensa...

NA HILAL K SUED Usiku wa Jumanne ya Novemba 2, mwaka 2010, Tundu Lissu, mgombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki, alikaa kwenye kiti ndani ya...

Mradi wa Stiegler’s Gorge kizungumkuti Na Chrysostom Rweyemamu OKTOBA 2006, takriban mwaka mmoja tu baada ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuingia madarakani, lilitokea tukio ambalo si...