Maoni

Maoni

  MIONGONI mwa mambo yanayonitatiza, ni uwasilishaji wa hotuba, au michango ya baadhi ya wanasiasa nchini. Pengine si hotuba tu, bali namna ambavyo mfumo mzima...

NA JIMMY CHARLES, 0688 063 839 RIPOTI ya pili ya mchanga wa mashobo imetoka huku ikiwaacha Watanzania wengi vinywa wazi wasiamini kile walichokisikia. Ripoti hiyo ambayo...

Jumanne iliyopita, MTANZANIA gazeti ‘dada’ la RAI, lilikuwa na habari moja ya kusikitisha kuhusu sekta ya elimu nchini. Liliandika wanafunzi 728 wa shule ya msingi...

NA MWANDISHI WETU AMEKOSOLEWA, amepingwa, baadhi ya watu wamefikia hatua ya kumbeza na hata kumsema vibaya Paul Makonda. Makonda amekutana na kadhia hiyo kutokana na jitihada...

CHALI? Kwani Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, na aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa chama hicho, Nape Nnauye, walikuwa wamelala uso...

Bado kuna tatizo kwenye mfumo wa utawala wa nchi yetu. Mmmoja anaondoka, anaacha Hazina ina fedha, mwingine anaingia anaondoka Hazina haina kitu. Hii kitu...

MUSWADA wa Huduma kwa Vyombo vya Habari unatarajiwa kupelekwa bungeni wiki hii. Tayari ratiba ya Bunge imeonesha mswaada huo utawekwa mezani. Wakati Bunge likaweka wazi...

Wadau, amani iwe kwenu. Hakika ni jambo la faraja kuwa na Rais ambaye anasema kweli daima na anashirikiana vema na majirani zake. Wakati Magufuli anaingia...

RAIS John Magufuli, amejikana, ameikana familia kubwa ya watawala wanaopenda kuendelea kuishi Dar es Salaam, ameukana utamaduni wa ovyo wa kutotii matakwa ya muda...

Jumamosi wiki hii Chama cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano wake mkuu mjini Dodoma ambapo wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka pembe zote za nchi wanatarajiwa...