Michezo Kimataifa

Michezo Kimataifa

MWANDISHI  WETU NA MITANDAO MWISHONI mwa wiki iliyopita, Mashindano ya Riadha ya Dunia inayosimamiwa na Shirikisho la Kimataifa la Mchezo huo  (IAAF) yalianza rasmi jijini...

NA MWANDISHI WETU Kuhitimishwa kwa mchakato wa usajili ni dalili njema kwamba sasa pazia la Ligi Kuu ya Tanzania Bara linakaribia kufunguliwa rasmi. Kufungwa rasmi kwa...

MWANDISHI WETU NA MITANDAO MAKTABA ya kumbukumbu ya soka haioneshi kama kuna mchezaji yeyote aliyewahi kufanya makubwa akiwa na zaidi ya miaka 30 kama haya...

KELVIN LYAMUYA NA MITANDAO WAKATI ratiba ya mechi za hatua ya 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya ikipangwa Desemba mwaka jana, wadau wa soka waliona...

MWANDISHI WETU NA MITANDAO KATIKA dakika za lala salama, Arsenal wakilishambulia lango la Manchester United kwa lengo la kupata bao la kusawazisha, ndipo mshambuliaji wa...

KELVIN LYAMUYA NA MITANDAO SOKA la Uingereza lilionekana kubadilika mno kipindi ambacho klabu ya Leicester City ilikuwa ikizinyima raha timu za ligi kuu nchini humo. Lakini...

MWANDISHI WETU NA MITANDAO WIKIENDI iliyopita klabu ya Liverpool iliondoka kwenye dimba la White Hart Lane na poitni moja baada ya kulazimishwa sare ya bao...

MASHNDANO ya Olimpiki yalifikia tamati Jumapili iliyopita jijini Rio De Janeiro nchini Brazil, kwa mwaka 2016. Michuano hiyo iliyoanza Agosti 5 na kumalizika Agosti 21,...

KELVIN LYAMUYA NA MITANDAO, Ilikuwa ni mwaka 2015, Februari 2, masaa machache yalibakia kabla dirisha la usajili wa majira ya kiangazi mwaka huo kufungwa rasmi...

MWANDISHI WETU NA MITANDAO, NI wazi kuwa Manchester United ile iliyokuwa ikinolewa na Sir Alex Ferguson miaka kadhaa iliyopita kabla ya mzee huyo kuamua kustaafu...