Michezo

Michezo

NA MWANDISHI WETU MIAKA, miezi, wiki hatimaye siku tatu tu zimebaki kabla ya           kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utakaoingiza...

MWANDISHI  WETU NA MITANDAO MWISHONI mwa wiki iliyopita, Mashindano ya Riadha ya Dunia inayosimamiwa na Shirikisho la Kimataifa la Mchezo huo  (IAAF) yalianza rasmi jijini...

NA MWANDISHI WETU, NI historia nyingine tena inawekwa na vijana wadogo katika ulimwengu wa soka wakionekana dhahiri kutaka kuwafuta machozi watanzania kupitia mchezo huo unaopendwa...

NA MWANDISHI WETU, KWA sasa kila kitu kinachofanyika na kuendelea hapa nchini kinahusika na siasa. Hakuna anayebisha kama sote tunaiishi siasa lakini kwa upande wa...

NA ASHA MUHAJI, NI aibu tena ya karne kwa klabu kubwa, kongwe, maarufu na yenye rasilimali watu ya kutosha kama Yanga kulia njaa katika zama...

NA MWANDISHI WETU, WAKATI kikosi cha Serengeti Boys, kikiwa kinajiandaa kwenda kushiriki fainali za Afrika kwa vijana nchini Gabon mapema mwezi Mei mwaka huu, wachezaji...

NA MWANDISHI WETU, HATIMAYE Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara unaanza mwishoni mwa wiki hii kwa timu zote 16 kupigana kufa na...

NA ASHA MUHAJI, HAKUNA kitu kibaya katika maisha kama kukata tamaa. Mara nyingi hatua hiyo huonesha wazi kabisa kwamba hakuna tena matumaini ya ufumbuzi wa...

NA ASHA Muhaji, PENGINE ile dhana ya kuwa Tanzania ni nchi ya amani ndiyo inayowapa kiburi wananchi wakiwemo mashabiki wa soka nchini kama haitakuja kutokea...

  NA GEORGE KAYALA OKTOBA Mosi, Oktoba Mosi. Umekuwa msamiati mkubwa kwa mashabiki wa soka hapa nchini wakimaanisha siku ya mechi ya kwanza ya msimu huu...