Tukumbushane

Tukumbushane

NA HILAL K SUED, Siku zote huwa najiuliza kwa nini nchi hushindwa kusimamia au kuendesha bila mushkel zoezi au shughuli yoyote kubwa na muhimu ya...

NA HILAL K SUED, Historia inaonyesha kwamba mali asili, kwa namna moja au nyingine, zimekuwa zikizitesa nchi nyingi duniani kuliko hata kuziletea faraja na tija...

NA HILAL K SUED, Katika safu hii wiki mbili zilizopita nilisema siasa na ulaghai (au uongo) ni vitu ambavyo haviwezi kuvitenganishwa, ni mapacha waliozaliwa siku...

NA HILAL K. SUED Mahakama ni chombo, cha Serikali, chenye mamlaka ya kutoa maamuzi katika migogoro baina ya pande mbili na pia kusimamia utawala wa...

Na Hilal K. Sued Neno hili “ukweli” limekuwa likipewa tafsiri nyingi – lakini tafsiri ya msingi ni “maafikiano yale ya kichwani na hali halisi iliyopo.”...

  NA HILAL K SUED SABABU kubwa inayopelekea Serikali hii kutokubali madai ya waajiriwa wake, mfano madaktari na walimu na wa sekta nyingine inatokana na tabia...

NA HILAL K SUED, WIKI iliyopita vyombo vinavyosimamia sheria na utoaji haki nchini vilikuwa gumzo kubwa kutokana na yaliyojiri kwenye sherehe za Siku ya Sheria...

NA HILAL K. SUED, Bara la Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara lina jumuiya tatu kuu za kikanda zinazoshikisha nchi za kanda zao – Jumiya...

NA HILAL K SUED, Muda mfupi tu baada ya kuapishwa na Rais John Magufuli kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Uchaguzi (NEC) nchini, Jaji Semistocles...

NA HILAL K SUED, Mojawapo ya kauli maarufu katika medani ya kisiasa zilizowahi kutolewa hapa nchini ni ile ya baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere...