Uchambuzi

Uchambuzi

  MIONGONI mwa mambo yanayonitatiza, ni uwasilishaji wa hotuba, au michango ya baadhi ya wanasiasa nchini. Pengine si hotuba tu, bali namna ambavyo mfumo mzima...

EWE Mkuu wangu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Naamini uliona ule waraka wangu mfupi. Nimesikiliza clip yako ukihamasisha vijana wathubutu bila...

KATIKA muda wa zaidi ya wiki mbili sasa, jina ambalo limetawala katika kila kona ya nchi hii ni la Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa...

NA JULIUS MTATIRO, JUMAPILI ya Januari 22, 2017, kulikuwa na uchaguzi wa marudio katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Marudio hayo yalihusisha jimbo moja la...

WIKI iliyopita tulishuhudia katika vyombo vya habari takriban vyote jinsi mvutano kati ya Rais John Magufuli na wanasiasa wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba...

Na Lucas Mboje - Jeshi la Magereza Wiki iliyopita tulijadili kwa undani uanzishwaji, kazi na majukumu ya bodi ya Parole nchini. Wiki hii tunaendelea na...

UPEPO wa kiutendaji katika mihimili miwili ya dola unavuma vibaya hali inayoashiria vyombo hivyo muhimu katika nchi kwenda kombo kama masuala ya msingi yataendelea...

Na. M. M. Mwanakijiji, MOJAWAPO ya mambo mabaya sana kiutawala yaliyowahi kutokea nchini na ambayo yamevuruga watendaji wa juu, watumishi na wananchi wa kawaida ni...

NA JOSEPH SHALUWA NI fikra mgando kudhani kwamba ili uwe kiongozi ni lazima awe mtu mzima ama mzee. Katika zama hizi uongozi una fursa kubwa...

Suala la Matumizi kufanyika nje ya mfumo wa bajeti ni suala la kisheria. Bajeti inaongozwa na sheria mbalimbali kama vile Sheria ya Fedha (The...