Uncategorized

Uncategorized

Ikiwa ni miaka 20 tangu kuanza kwake kutoa huduma kwa wananchi katika masuala ya kifedha, Benki ya Exim imejipanga kutanua wigo wake wa kibiashara...

Mtu mmoja wa umri wa miaka 42 mjini Washington, Marekani anatuhumiwa kupeleka ujumbe mfupi wa simu ya kiganjani (SMS) kwa muuaji mmoja akimuagiza amuue...

Dira ya NSSF ni kuongoza katika utoaji wa huduma bora za mafao ya hifadhi ya jamii katika bara la Afrika ifikapo mwaka 2020, kwa...

ZIARA ambazo zimefanywa kwa wiki moja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, zimeibua ukweli mchungu kwa wananchi wa ndani na...

Mwaka mmoja wa utawala wa Rais John Pombe Magufuli, unajadiliwa sana. Gumzo lililopo mitaani kote hivi sasa, iwe ni mjini au kijijini, ni ukata. Kila...

NA FARAJA MASINDE NI wazi kuwa sekta ya afya inaanza kuonesha mwanga unaoonesha kuimarika kwa sekta yenyewe katika maeneo tofauti. Kwa kipindi kirefu nchi yetu...

CHADEMA hawana sababu ya kuilaumu CCM kwa hili liliotokea katika uchaguzi wa Meya Kinondoni kwa sababu CCM walikuja na mbinu zilezile zilizozoeleka miaka yote...

WATANZANIA tumekuwa tukisubiri kuanza kwa Mahakama Maalum ya kushughulikia tuhuma za uhujumu uchumi na ufisadi kwa matumaini makubwa mno. Kwamba mahakama hiyo ipo mbioni...

Na Franklin Victor Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli aanze muhula wake wa miaka mitano ya huduma kwa Watanzania,...

  HULKA ya falsafa ni kudadisi, kuhoji na kushangaa na nia ikiwa kusaka ukweli utakaowezesha kuondoa shaka katika jambo linaloonekana kuwa zito. Nimekuwa nikiamini katika falsafa...