JAAP Stam, David Beckham, Juan Sebastian Veron, Eric Djemba Djemba na Ruud van Nistelrooy ni miongoni mwa mastaa waliotupiwa virago na kocha mstaafu Alex Ferguson wakati akiinoa Manchester United, huku kila mmoja akipewa sababu zake. Inaelekea sasa ni zamu ya Wayne Rooney ambaye tayari Mkurugenzi Mtendaji, Ed Woodward ametupilia mbali mazungumzo ya mkataba wake mpya.
Michezo
Rooney huyu, si yule wa zamani
Hongera Simba kutembelea mikoani
*Watua Katavi na kukutana na ‘wajina’ wao, washindwa kusalimiana
WIKI iliyopita mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara ambao pia ni mabingwa wa kihistoria wa Afrika Mashariki, Simba ya Dar es Salaam walifanya ziara mikoa ya magharibi na kucheza mechi kadhaa za kirafiki kwenye miji mbalimbali.
Wenger kwa Higuain kama mteja wa mitumba Karume
TABIA za kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, katika soko la usajili huwa nazifananisha na wateja wa nguo za mitumba pale Karume, Kariakoo au Big Brother (Njiapanda ya Mabibo). Mimi ni mmoja wa wavaaji wazuri sana wa nguo hizo, lakini ukinikuta ‘nalalamikisha’ bei unaweza ukanionea huruma, hata kama mfukoni nina milioni niko tayari kuacha kununua nguo au kiatu, kisa muuzaji ameshindwa kunipunguzia Sh 1,000.
Tusipagawe na Simba na Yanga
WAKATI msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukitarajiwa kuanza mwezi ujao, nitoe wito kwa mashabiki wa soka kuacha tabia ya kubagua mechi za kwenda kushuhudia. Shabiki wa kweli hapaswi kwenda uwanjani kutazama mechi zinazozihusisha timu za Simba au Yanga pekee. Hatuwezi kuendelea kimichezo tukikosa mapenzi mema kwa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu bila kubagua.
Tenga: Kama hakuna budi basi hakuna neno
*Zuri likionekana, ujue baya limefichwa
KWA takriban miezi mitano sasa soka la Tanzania limekuwa likishuhudia kiminyano kikali katika suala zima la uongozi wa Shirikisho linalosimamia mchezo huo hapa nchini (TFF).Hii imetokan a na sintofahamu iliyotokea wakati wa mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa shirikisho hilo uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 24 mwaka huu jijini Dar es Salaam ambapo masahibu yalianza baada ya Kamati mbili zilizokuwa na malaka ya kusimamia uchaguzi huo kupingana katika maamuzi yake.
Makala zaidi...
- Kizungumkuti cha Falcao na Fergie
- Nafasi za kazi ‘nje nje’
- Tenga kama Mbuni anaficha kichwa tu
- Kujiuzulu ni kulinda heshima
Kurasa 1 kati ya 4
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- 3
- 4
- Mbele
- Mwisho
- »