EDMUND Burke (1729 -1797) ni jina maarufu hasa katika nyanja za kifalsafa na sheria. Zaidi ya hapo ni mwanaharakati wa kupigiwa mfano, mwandishi nguli hasa katika harakati za kupigania na kudai haki za binadamu.
Jamii
Tumeukana ukweli, maovu yanashamiri
Khanga ya Mombasa huzeeka na upya wake
WAKATI tunakua mitaa ya Makanyagio na Madini huko Mpanda, kulikuwapo uhaba mkubwa sana wa bidhaa kiasi karibu kila kitu kiliitwa ‘bidhaa adimu’. Si sukari, sabuni, mafuta ya kula, viatu, bia, soda, mafuta ya taa, khanga na hata vitenge!
Jamii isiyolalamika ni mfu
MWAKA 1789 nchini Ufaransa yalifanyika mapinduzi ya kihistoria kupinga utawala dhalimu na wa kimapavu chini ya Mfalme Louis xvi. Wanahistoria wanayataja mapindunzi hayo kama sauti ya wanyonge waliokuwa wamepuuzwa kwa muda mrefu chini ya utawala dhalimu wa Louis. Kivutio pekee katika mapindunzi hayo, ni namna sauti za wanyonge zilivyosikika na kuungana kwa pamoja, huku yakichagizwa na nguvu ya wanawake waliokuwa wakiimba nyimbo za kuhamasisha katika viunga mbalimbali vya Paris.
Sheria mpya idhibiti mitandao ya kijamii
Mitandao ya interneti na tovuti ni matokeo ya mapinduzi ya teknolojia ya mawasiliano. Hapana shaka huduma hizo ndizo zinatambulisha ujio wa utandawazi na umaarufu wa karne ya 21.
Hatujui tunachokiamua, hatuwezi kuamua sahihi
NEALE Donald Waisch, si jina geni lakini pia si maarufu sana kama ilivyo kwa majina makubwa kama Plato, Socrate, Newton, Aristotle na wengine wengi katika uwanja wa falsafa. Lakini ukweli ni kwamba huyu ni mwanazuoni jadidi, mwanadiplomasia, mtunzi na zaidi ya yote ni mwanaharakati wa kupigiwa mfano aliyeishi mwanzoni mwa karne ya 19.
Makala zaidi...
- Faida si lazima iwe fedha, inaweza kuwa damu
- Ujasiri si kutokuwa na hofu, bali kuishinda hofu
- Profesa Tibaijuka anapoitupa haki, kukumbatia siasa
- Faida, faida, faida, kwa vyovyote vile faida
Kurasa 1 kati ya 5
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- Mbele
- Mwisho
- »