LEO ni siku ya aina yake nchini Afrika Kusini na barani Afrika kwa ujumla, kwani mmoja kati ya watoto wa Bara hili, kiongozi anayeheshimika sana duniani, mpigania uhuru na mpambanaji dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson Rolihlahla Madiba Mandela anatimiza umri wa miaka 95.
Maoni ya Mhariri
Happy birthday Mandela!
Tutofautishe vurugu na madai halali
HIVI karibuni kumetokea wasiwasi miongoni mwa Watanzania kuhusu kupotea kwa hali ya amani na utulivu tuliyoizoea huku kukiwa na matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia, mengi yakisababishwa na majambazi. Hii ni jinai kubwa ambayo haina mjadala.
Kibanda karibu uwanja wa mapambano
JUZI Jumanne, Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya magazeti ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, alirejea nchini akitokea Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa. Kibanda alikwenda kutibiwa si kwa sababu ya kuugua maradhi fulani, bali kutokana na kipigo na mateso makali aliyoyapata Mei 5, mwaka huu, nje ya nyumba yake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam.
Vyama vya wafanyakazi vimepoteza muelekeo
VYAMA vya wafanyakazi nchini vimepoteza mwelekeo kwa kuwa tangu kuigawa iliyokuwa Jumuia ya Wafanyakazi Tanzania (JUWATA) na kuunda vyama vya kisekta, wafanyakazi nchini hawana vyama vyenye nguvu vinavyoweza kujenga hoja na kutetea wanachama wao ili waweze kupata maslahi bora zaidi.
Aibu wabunge kutofundishika
KIKAO cha Bunge la Bajeti kinaendelea mjini Dodoma huku hoja kadhaa zikiwasilishwa na kutoa nafasi kwa wabunge ambao ndio wawakilishi wa wananchi, kuchangia hoja hizo kwa maslahi mapana ya taifa hili na vizazi vijavyo.
Makala zaidi...
- Katiba mpya izingatie historia na ulazima wa mabadiliko
- Bunge lisigeuzwe kuwa Mahakama
- Kamati ya Bunge inahitajika Mtwara
- Nani atatutulia tatizo hili katika magereza?
Kurasa 1 kati ya 3
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- 3
- Mbele
- Mwisho
- »