Rai

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size

Uchumi

Wanasiasa wanaivuruga Ngorongoro

Print PDF

KWA kipindi kirefu kumekuwapo na taarifa au tetesi za mgogoro kati ya wenyeji (Wamasai) wanaoishi kuzunguka na ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro (NCAA) dhidi ya mamlaka hayo. Wiki iliyopita, mgogoro huo ulipamba moto kiasi cha wenyeji hao kutishia kuandamana na kufunga geti la kuingilia ndani ya hifadhi hiyo Juni 1, mwaka huu, hifadhi ambayo ni miongoni mwa maajabu ya dunia.

Mwekezaji ni mwenye fedha, mwenye ardhi au wote wawili?

Print PDF

WIKI iliyopita nilianza kwa kujadili jinsi viongozi na wanasiasa wetu pengine kwa ushauri na ushawishi mkubwa wa mashirika ya kimataifa kama vile Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Benki ya Dunia (WB) na Mataifa ya Magharibi, wamekuwa wakiwaasa wananchi hususan wa vijijini kuwakaribisha kama si kuwapigia magoti watu wanaokuja na fedha kutoka nje ya nchi waliobatizwa na kuitwa wawekezaji.

Bidhaa hafifu zinaigharimu Serikali yetu

Print PDF

LICHA ya kuwapo kwa ongezeko la bidhaa hafifu nchini Shirika la Viwango Tanzania (TBS), linajizatiti katika kuimarisha mfumo wa ukaguzi wa bidhaa kabla hazijaingia nchini ili kulinda usalama wa walaji wakati wote.

Tunaomba, tunapewa, tunajiibia, tunabakia umasikini

Print PDF

MWANDISHI wa gazeti la New York Times, Sharon LaFraniere, Julai 2005 aliandika kuwa kiasi kikubwa cha fedha za msaada zaidi ya dola za Marekani milioni 300 zilizotolewa kwa nchini za Afrika kuanzia mwaka 1980 ziliishia kwenye mifuko ya utapeli, ubadhirifu na hata kupotea katika mazingira yasiyoeleweka.

Wabunge wanatucheza shere kwa fedha zetu

Print PDF

NAKUMBUKA miaka kumi iliyopita, mwajiri wangu (wa wakati huo) alianzisha utaratibu wa kutuma waandishi wa habari kutoka Dar es Salaam kwenda mjini Dodoma kwa ajili ya kuripoti yanayojiri katika mikutano ya Bunge la Jamhuri ya Muungano.

Makala zaidi...

  • Ni vigumu Zanzibar kupiga hatua
  • Wana-Mtwara mkicheka na nyani mtavuna mabua
  • Wachumi amkeni fikirini mambo mapya sasa
  • KENYA: ‘Thiolojia ya ukombozi’ yapambana na ‘Mbinguni iwe ni hapa duniani’

Kurasa 1 kati ya 4

  • «
  •  Mwanzo 
  •  Nyuma 
  •  1 
  •  2 
  •  3 
  •  4 
  •  Mbele 
  •  Mwisho 
  • »

Waliotutembelea