Rai

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size

Tukumbushane

Ushindi wa Kenyatta na Ruto waiumbua ICC

Print PDF

WIKI hii natoka nje ya mipaka yetu na kujikita katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) iliyopo The Hague, Uholanzi – hususan kuhusu lile sakata lake na nchi jirani yetu ya Kenya. Sakata hilo limeanza kuchukuwa sura mpya na kwa kiasi kikubwa linaanza kuiumbua Mahakama hiyo.

Baadhi ya matukio hulenga kubadilisha mijadala ya jamii

Print PDF

TULIKUWA tumefikia wapi vile? Yaani kabla ya hili la kupigwa vibaya kwa Absalom Kibanda na lile lililofuata la video ya Wilfred Lwakatare? Nawaomba tusisahau. Tulikuwa katikati ya sakata la kufeli kwa wingi wa wanafunzi waliofanya mtihani wa Kidato cha Nne, suala ambalo liliibua mjadala mkubwa na mzito katika jamii ulioiweka serikali mahala pagumu kweli kweli.

Tuwe waangalifu tunapobadilisha majina ya mitaa yetu

Print PDF

MAJINA ya barabara na mitaa katika miji na sehemu nyingine za nchi si suala ambalo linaweza kuibua mjadala mkubwa katika jamii ingawa pia ni suala lenye umuhimu wa wa kipekee kitaifa, na hata kimataifa. Methali ya Kiingereza isemayo “Call a rose by any other name but will smell as sweet” – (liite waridi kwa jina lolote lakini litanukia vile vile) inaweza kukinzana katika mada yangu ya leo.

Miungano ya vyama Kenya kumaliza ukabila?

Print PDF

Nadhani nchi nyingi Barani Afrika zimefikia hatua ambapo jibu pekee la kutatua matatizo yao mengi yakiwamo matatizo ya umasikini uliokithiri na ukiukwaji wa haki za binadamu ni kuamua kutawaliwa tena, iwapo tu Taifa adilifu na lenye nia njema linaweza kupatikana kufanya hivyo.

Zama za kujifariji zimekwisha,Tanzania ni kama nchi nyingine

Print PDF

MGOGORO wa gesi asilia baina ya wakazi wa Mkoa wa Mtwara na serikali umetulizwa kwa sasa. Lakini ukweli ni kwamba haujaisha kabisa kwani migogoro ya aina hii – inayowagonganisha wananchi na serikali yao kuhusu rasilimali za nchi si kitu kigeni hapa nchini, achilia mbali kwingineko duniani.

Makala zaidi...

  • TAKUKURU: Taasisi muhimu inayohuzunisha
  • Kwa nini tugombane na wafadhili kwa kauli zao za nia njema kwetu?
  • Misamiati hii ya watawala haina tija kwa jamii
  • GESI ASILIA: Watanzania wa kusini hawakukosea kuandamana

Kurasa 1 kati ya 2

  • «
  •  Mwanzo 
  •  Nyuma 
  •  1 
  •  2 
  •  Mbele 
  •  Mwisho 
  • »

Waliotutembelea