MAJUZI Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, amevunja Kamati ya Nishati na Madini kutokana na wajumbe wa kamati hiyo ambao ni Wabunge kuhusishwa na tuhuma za rushwa.
Rai
Rushwa huathiri ukuaji wa demokrasia nchini
Kuwanyanyasa walimu wasiogoma ni kukaidi Katiba
SERIKALI isilegee katika kusimamia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Isiwafumbie macho wanaovamia na kushambulia walimu ambao hawashiriki mgomo wa kutofundisha wanafunzi shuleni.
Serikali kukimbilia mahakamani ni uvivu wa kufikiri
COSATU ni shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini Afrika Kusini. Shirikisho hili limekuwa na nguvu kubwa katika kutetea haki za wafanyakazi wa kada zote nchini humu. Hata hivyo, tofauti na shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), COSATU imo katika ubia wa uongozi na chama tawala nchini humu ANC.
Mbatia, Machali ‘wanavyo washa moto’ bungeni
AHADI aliyotoa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi kitaifa, James Francis Mbatia, baada ya kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuwa Mbunge, kwamba atakapoingia bungeni “atawasha moto” kutetea maslahi ya umma hususan wananchi fukara, inatimia.
BUNGE NA FALSAFA YA MBWA MWITU
*Wakikosa wa kumla, huwa wanakulana wenyewe
Matukio yanayojiri hivi sasa ndani ya bunge letu tukufu yananikumbusha kisa cha hadithi ya mbwa mwitu. Ambapo katika masimulizi ya kusisimua juu ya mbwa mwitu ni kuwa ni mnyama wa kipekee ambaye siku zote za maisha yake hutegemea mawindo yake kujipatia chakula cha kila siku na huwinda wanyama wengine wanyonge na dhaifu na kuwala. Lakini tabia pekee ambayo mbwa mwitu anatofautina na wanyama wengine wawindao ni kuwa mbwa mwitu wanapokosa mawindo basi huanza kulana wenyewe kwa wenyewe.
Makala zaidi...
- KUSIMAMISHWA VIONGOZI TANESCO: Siri nzito zafichuka
- Mafuta yapo baharini, Kaskazini ya Dar
- Bodaboda ni janga la kitaifa
- Bunge lisafishe Wizara ya Elimu
Kurasa 30 kati ya 34
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 21
- 22
- 23
- 24
- 25
- 26
- 27
- 28
- 29
- 30
- Mbele
- Mwisho
- »