NELSON Mandela au Madiba au Tata kama wana wa Afrika Kusini walivyozoea kumwita mzee huyu wakimaanisha “Baba”, neno la kibantu lenye maana hiyo hiyo katika makabila mengi ya Kiafrika, ana mengi ya kufundisha; si tu kwa Waafrika bali dunia nzima wakati tunasherehekea leo akitimiza miaka 95 tangu azaliwe.
Siasa
Darasa kuntu la Mandela na miaka 95 ya kuzaliwa
‘Mzimu wa Morsi’ kuisumbua Misri kipindi kirefu
PAMOJA na shangwe kutawala mitaani baada ya Jeshi la Misri kumng’oa Rais Mohammed Morsi, nyakati ngumu bado zinalisubiri taifa hilo la Kiarabu la Kaskazini Mashariki mwa Afrika. Bila shaka mapinduzi yaliyofanywa na waziri wa ulinzi, ambaye pia ni mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Jenerali Abdel Fatah al-Sisi yalifanyika kwa busara.
Raila Odinga amemshika pabaya Kibaki
*Ana turufu ya nguvu dhidi ya Rais huyu
RAILA Odinga ana turufu, lakini hiyo ni turufu gani aliyo nayo dhidi ya Rais Mwai Kibaki, kiongozi mkuu wa sasa wa Kenya? Katika kashfa ya Goldenberg iliyofichwafichwa kwa miaka 10 wakati wa utawala wa rais wa zamani, Daniel arap Moi, mamilioni ya fedha yalilipwa kwa kampuni moja kama 'ahsante' kwa kuuza almasi na dhahabu nchi za nje, wakati Kenya haina madini hayo!
Raila Odinga: Mbuyu uliokuwa lazima uanguke!
*Viashiria kadhaa vilionyesha mapema kuwa ngoma ingekuwa nzito
*Ukongwe wake katika siasa ulififishwa na Uhuru Kenyatta ambaye ni mchanga katika medani hiyo
RAILA Odinga (68) ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya huru, Jaramogi Odinga, alikuwa anawania urais dhidi ya Uhuru Kenyatta (51) ambaye ni mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya huru pia, Jomo Kenyatta.
Nassor Moyo: Sio rahisi kuuvunja Muungano huu
*Asema ikibidi iwe hivyo, Wazanzibari wasiogope
*Aeleza kuwa ubinafsi ndio uliomponza Jumbe 1984
VUGUVUGU la mabadiliko nchini, limeendelea na tayari watu wa kada mbalimbali wametoa maoni yao katika kila Nyanja. Wanasiasa wakongwe nao hawakuwa mbali katika harakati hizi. Miongoni mwao ni Hassan Nassor Moyo. Huyu ni mmoja wa waasisi wa taifa hili, aliyepata kushika nyadhifa tofauti, ikiwamo Waziri wa Sheria wa kwanza mara baada tu Tanganyika na Zanzibar kuungana. Mwandishi wetu SARAH MOSSI amefanya mahojiano na mwanasiasa huyu juu ya suala zito la hatima ya Muungano linaloumiza vichwa watu wengi hivi sasa. Endelea…
Makala zaidi...
- CCM wawaige NRM waende ‘retreat’ wakajitathmini upya
- Ni Raila, Mudavadi, Uhuru dhidi ya kani ya ukabila Uchaguzi Mkuu Kenya
- Ni Watanzania gani hawa wasiotaka tuondokane na mgawo wa umeme?
- Watanzania tunajifunga goli la kisigino!
Kurasa 1 kati ya 3
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- 3
- Mbele
- Mwisho
- »