RIPOTI MAALUMU
*Wanafunzi vyuoni, sekondari, shule za msingi wasagana, walawitiana, wajiuza
*Mawakala wa ngono wajichimbia kwenye vitongoji kadhaa jijini Dar es Salaam
*Wafanyabiashara, wananasiasa, vigogo wa Serikali ndiyo wateja wakubwa Dar, Dom
WAKATI chanzo cha ufaulu duni wa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2012 ukiwa bado katika uchunguzi wa Serikali, uvundo mkubwa umebainika kwenye asasi, shule na vyuo mbalimbali nchini na kutishia ustawi wa jamii ya Kitanzania.
Elimu
Ukahaba washamiri
Habari Kamili... Idadi ya waliosoma habari hii ni: 973
James Mbatia: Mbunge anayelia na itikadi za vyama bungeni.
KABLA ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka huu kuliibuka mjadala mkubwa bungeni ambao ulihusu hoja binafsi uliyotolewa na Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-Mageuzi), James Mbatia.
Habari Kamili... Idadi ya waliosoma habari hii ni: 161