*Wapinzani wamehalalishwa na Katiba kufanya kazi ya kuikosoa Serikali
*Hawatakiwi kuwa wabishi, bali wabainishaji mapengo
TAKRIBANI miaka saba inayeyuka tangu tupate Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni Jakaya Kikwete, na kwa mantiki hiyo, tangu Serikali ya awamu ya nne iingie madarakani.
Habari Kamili... Toa Maoni Idadi ya waliosoma habari hii ni: 33