WATAALAMU wa lugha ya Kiswahili watanisamehe kwa kusema kuwa Kiswahili kimekosa maneno rahisi ili kufafanua dhana za ujasiriamali kutoka lugha ya Kiingereza. Nafahamu kuwa tafsiri ya maneno hayo ipo; lakini mantiki yake binafsi hainiridhishi. Moja ya maneno hayo ni hili,
Habari Kamili... Toa Maoni Idadi ya waliosoma habari hii ni: 244