RAIS wa kwanza wa Afrika Kusini Nelson Mandela Julai 18, mwaka jana alitimiza miaka 94 ya kuzaliwa licha ya kusherehekea kuzaliwa huko miongoni mwa wanajamii wa Afrika Kusini lakini jambo muhimu linalojiakisi miongoni mwa Waafrika wengi ni maisha ya kupigania uhuru ya kiongozi huyo shujaa wa Afrika.
Maendeleo
Tunajivunia nini miaka 15 ya Waafrika kuongoza UN?
Lowassa, Membe msitoe ngama
KADRI kasi ya upepo wa kisiasa uvumavyo huku ukiwasukuma Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, utulivu wao wa kuliweka tenge suala la wao kuwania au kutotaka urais kunawajengea hadhi na taadhima.
Lowassa: Kilimo kwanza kimezinga njia
NILIPOMSIKIA Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa akiasa na kusema kwa kujiamini kuwa elimu ndiyo iliyofaa kuwa kwanza kabla ya wakulima wetu na kilimo chetu kukifanya kwanza sikumshangaa.
“Tilapia” aina ya samaki wanaofugwa
SAMAKI aina ya “Tilapia”, kwa jina lililozoeleka hapa kwetu la sato, ni aina ya samaki ambao asilia yao ni barani Afrika. Tilapia wa mto Nile kwa jina la kitaalam wajulikanao kwa O.niloticus ndiyo walianza kufugwa nchini Misiri kwa zaidi ya miaka 3,000 iliyopita.Ufugaji huo unadhihirishwa na kuthibitishwa na michoro iliyochorwa na inayopatikana kwenye piramidi na baadhi ya makaburi ya kale ya huko Misiri.
Sudan Kusini taifa changa lenye mafuta linalozongwa na mengi
JULAI 9, mwaka 2011 Ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa taifa huru jipya la Sudani Kusini. Hayo yalikuwa ni matokeo ya makubaliano ya pamoja ya Khartoum ya mwaka 2005, yaliyoelekeza Serikali kuacha mapambano na vita na badala yake kuwepo kwa amani kwenye nchi ya Sudan ya kuwezesha kuitenga nchi na kuunda nchi za Kaskazini na Kusini.
Makala zaidi...
- Walimu wanapowatuma wanafunzi kuandamana, madaktari wawatume wagonjwa?
- Manahodha wawili wasioelewana hawawezi kuifikisha meli bandarini
- Kilimohai muhimu kwa uchumi wa Tanzania
- Wasichana wa Kimaasai kutumia ushawishi kuondoa mila potofu
Kurasa 1 kati ya 2
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- Mbele
- Mwisho
- »