*Ataendelea kuwa Rais pekee aliyedumu madarakani kwa kipindi kirefu zaidi Zanzibar
WANAZUONI wanasema umri mkubwa ni neema ambayo binadamu amejaaliwa na Mwenyezi Mungu, kwa hivyo unatakiwa kutumika kwa kufanya mema.
Siasa
Mzee Aboud Jumbe atimiza miaka 93
Miaka 11 ya kifo cha Mufti Hemed bin Jumaa bin Hemed - 1
*Waislamu wakosa mwelekeo
*Weledi, busara, hekima vyapungua
NI miaka 11 na nusu sasa tangu Tanzania impoteze mwanazuoni mkubwa wa dini ya Kiislamu ambaye hajawahi kuwa na mfano nchini na nchi za jirani ukiondoa wale waliokuwepo karne ya 17 na 18.
Ufisadi rafiki yake uhaba, adui yake ufanisi
KWANGU dhana ya ufisadi na uchawi ni pande mbili za sarafu. Inaanza na wazo chafu linalotokana na roho mbaya, iliyojaa ubinafsi, uchoyo, tamaa, chuki, wivu, ulaghai, ukatili, roho isiyoridhika wala kukinai na yenye husda. Kama tunavyojua wazo huzaa neno na neno huzaa tendo. Kama kuna mtu yuko tayari kukusikiliza na kukusaidia kutekeleza ubaya huo, ndipo ufisadi/uchawi unapojidhihirisha.
Staili za utawala na amani ya taifa letu (1)
KATIKA historia ya taifa letu kuna mambo ambayo historia itayakumbuka kwa kuangalia staili za utawala za viongozi wa kila awamu. Bila shaka Awamu ya Kwanza ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere itakumbukwa kama kipindi cha utawala uliojipanga na kujipembua kwa kuwa na itikadi iliyotangazwa kwa nguvu zote kwa kutumia njia zote za mawasiliano ya umma.
Kunani nyuma ya tamko la wazee wa Kimasai?
“HALI hii imeukifu umma wa watu wa MAA na kuna kila sababu ya kukomesha kabisa. Hawako tayari kuona damu ikimwagika katika maeneo yote ya watu wa MAA. Tunatoa wito kwa Mahakama kuharakisha, kusikiliza na kuamua kesi za watuhumiwa wa uvunjifu wa amani kutokana na maandamano na mikutano haramu iliyofanyika hapa Arusha kuanzia mwaka 2010 hadi 2013.”
Makala zaidi...
- RASIMU YA KATIBA: Muungano gani kila nchi iwe na madaraka kamili?
- Barua ya wazi ya Zitto Kabwe kwa Watanzania
- Watoto wa Mzee Karume ni vuta nikuvute
- Muungano: Penzi hupungua lakini undugu hauishi
Kurasa 1 kati ya 27
- «
- Mwanzo
- Nyuma
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- Mbele
- Mwisho
- »