NI matumaini yangu barua hii pamoja na ujumbe wake itawafikia walengwa hasa uongozi wa juu wa benki ya NMB na wahudumu wa kitengo cha kikopo tawi la Namanga-Longido, Arusha.
Barua kwa Mhariri
Kitengo cha mikopo NMB tawi la Namanga Arusha kimulikwe
Miaka 51 ya Uhuru na shida kubwa ya umeme
NAPIGA hodi kwa mara ya kwanza katika gazeti pendwa la Rai nguvu ya Hoja. Ndugu Mhariri hivi karibuni kumekuwapo na tuhuma mbalimbali kuwa Watanzania ni walalamikaji wa kila kitu na kila siku.
Uzembe wa SUMATRA, wanyonge tunaumia
KWA mara ya kwanza naomba nafasi katika gazeti lako la Rai nitoe maoni yangu kuhusu kero tunayoipata sisis wasafiri tunaotumia mabasi ya Daladala. Kero hiyo si nyingine bali ni kitendo cha mabasi kukatisha njia zao kwa visingizio mbalimbali na kutufanya sisi abiria tulipe nauli mara mbili bila sababu yoyote. Hivi watu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) hamyajui.
Ufisaidi utakiua Chuo cha Mwalimu Nyerere
AWALI ya yote tunapenda kukushukuru kwa kutupa nafasi sisi wananchi wenye dukuduku letu kutoa maoni yetu katika gazeti lako tukufu. Ni kwa sababu ya imani yetu ndiyo maana tumeona tulete kilio hiki kwako kwa mara nyingine ili umma wa Watanzania ufahamu kinachoendelea katika Chuo cha Mwalimu Nyerere Kigamboni.
Walimu wakuu jamani!!
NACHUKUA fursa hii kulalamikia tabia na mwenendo wa baadhi ya walimu wakuu wa shule nyingi za msingi na sekondari hapa nchini.
Makala zaidi...
- Mafisadi fimbo ya mnyonge hulipwa na Mungu
- UA imeshindwa kupambana na nguvu za mabepari
- Hawa wasisubiri Baraza la Mawaziri kutangazwa