Rai

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size

Rai

Mauaji gerezani

Print PDF

*Mfungwa apigwa hadi kufa ndani ya ofisi ya Mkuu wa Gereza
UONGOZI wa Gereza la Kisongo mkoani Arusha unatuhumiwa kuwapiga na kuwatesa wafungwa na mahabusu, kiasi cha kusababisha kifo cha mfungwa mmoja na kuwapo majeruhi kadhaa.

Vyanzo vya habari kutoka gerezani hapo vimemtaja mfungwa aliyeuawa kutokana na kipigo kutoka kwa maofisa wa magereza kuwa ni Wilfred Mallya, mfungwa namba 315 ya mwaka 2003, aliyekuwa akitumikia kifungo cha maisha jela.

Taarifa zimesema kuwa mfungwa huyo alipata kipigo kikali ofisini kwa Mkuu wa Gereza hilo, Mrakibu Mwandamizi wa Magereza (SSP) L.W Msomba, Januari 24, na kufariki dunia kesho yake, Januari 25 mwaka huu na baadaye mwili wake ulihifadhiwa katika Hospitali ya Mount Meru.

Mara ya mwisho imehaririwa Alhamisi, Machi 21, 2013 07:34

Ni ushirikina mtupu

Print PDF

UONGOZI KAMATI ZA BUNGE
*Mbunge maarufu akutana na waganga hoteli ya Lamada
*Aulizwa, akana, amkamatisha mwandishi polisi Oysterbay

MMOJA kati ya wabunge maarufu kutokana Kanda ya Ziwa, Kambi ya Upinzani, (jina tunalihifadhi kwa sasa), ametajwa kutumia njia za kishirikina katika kuwania uongozi wa moja ya kamati za Bunge.

Tusiishie kuzindua miradi ya maji tumulike ufisadi na udhaifu

Print PDF

TANZANIA ni nchi ambayo imejaliwa vyanzo vingi vya maji, vinavyohusisha mito, mvua, maziwa na bahari; kuwepo kwa vyanzo hivi vya maji ni wazi kuwa nchi yetu inaweza kuepukana na shida ya maji inayoikumba jamii ya Tanzania iwapo tutaondoa udhaifu uliopo.

Bidhaa hafifu zinaigharimu Serikali yetu

Print PDF

LICHA ya kuwapo kwa ongezeko la bidhaa hafifu nchini Shirika la Viwango Tanzania (TBS), linajizatiti katika kuimarisha mfumo wa ukaguzi wa bidhaa kabla hazijaingia nchini ili kulinda usalama wa walaji wakati wote.

Raila Odinga: Mbuyu uliokuwa lazima uanguke!

Print PDF

*Viashiria kadhaa vilionyesha mapema kuwa ngoma ingekuwa nzito
*Ukongwe wake katika siasa ulififishwa na Uhuru Kenyatta ambaye ni mchanga katika medani hiyo

RAILA Odinga (68) ambaye ni mtoto wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya huru, Jaramogi Odinga, alikuwa anawania urais dhidi ya Uhuru Kenyatta (51) ambaye ni mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya huru pia, Jomo Kenyatta.

Makala zaidi...

  • Polisi waamka
  • Mhariri Kibanda aanza mazoezi
  • James Mbatia: Mbunge anayelia na itikadi za vyama bungeni.
  • Bunge lisigeuzwe kuwa Mahakama

Kurasa 7 kati ya 34

Waliotutembelea