Rai

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size

Rai

Mtatuwinda, mtatujeruhi, mtatuua lakini kamwe hamtumalizi

Print PDF

“Kitendo alichofanyiwa Kibanda ni cha kinyama na hakiwezi kuvumilika kwani kinasikitisha na kuhuzunisha kwa kila mtu”- Jaji Joseph Sinde Warioba

ABSALOM Kibanda, Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd hivi sasa hayupo ofisini kwake ambako alizoea kuwapo hadi usiku mnene.

Dk. Nchimbi walau walau…

Print PDF

MWANZONI mwa wiki hii Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, alitangaza kumsimamisha kazi Kamishna Msaidizi Mwandamizi na kuwatimua kazi maofisa sita wa Jeshi la Polisi.

Mhariri Kibanda aumizwa vibaya

Print PDF

TAHARUKI TASNIA YA HABARI
*Avamiwa usiku saa 6 nyumbani Mbezi Beach Dar
*Akatwa mapanga, jicho laharibika, ang’olewa meno, kucha
*Akimbizwa Afrika Kusini kwa matibabu jana mchana
*Serikali, MOAT, TEF, wabunge, wananchi walaani vikali

MHARIRI Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, usiku wa kuamkia jana amevamiwa na kundi la watu wasiojulikana, na kujeruhiwa vibaya.

Mabalozi Ulaya waingilia Zanzibar

Print PDF

*Wafanya mazungumzo na SMZ, viongozi wa dini
*Makachero wa FBI watoweka Zanzibar
SIKU chache baada ya kuuawa, kujeruhiwa baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo na kuchomwa moto makanisa Zanzibar, mabalozi wa nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU), wameingilia kati suala hilo.

Askofu Mokiwa alikubali matokeo

Print PDF

KATIBU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Canon Dk. Dickson Chilongani, amesema tuhuma dhidi yake zinazotolewa kwamba ameshirikiana na Msajili wa kanisa hilo, Profesa Palamagamba Kabudi za kuuharibu uchaguzi wa Askofu Mkuu hazina msingi, kwani walioshindwa walikubali matokeo.

Makala zaidi...

  • Makanisa njia panda
  • CD za uchochezi zazidi kusambaa
  • Manispaa Kinondoni matatani
  • Tanzania Taifa la tume

Kurasa 9 kati ya 34

Waliotutembelea