Rai

  • Increase font size
  • Default font size
  • Decrease font size

Rai

Polisi waamka

Print PDF

Vitisho kwa viongozi wa dini
*Waanza kutoa ulinzi kwa maaskofu na makanisa
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kutoa ulinzi kwa viongozi wa dini ya Kikristo na kwenye nyumba za ibada baada ya kuwapo vitisho dhidi ya viongozi hao. Hatua ya polisi imekuja siku chache baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Valentine Mokiwa.

Dk. Mokiwa alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Mbezi Mashirikiano, usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita, ambapo watu hao walimjeruhi kwa mapanga mlinzi wake aliyefahamika kwa jina moja la Fred.

Mhariri Kibanda aanza mazoezi

Print PDF

*Lwakatare wa CHADEMA ahojiwa na polisi kwa uchochezi
AFYA ya Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda, inaendelea kuimarika. Kibanda ambaye alitekwa na kuumizwa yupo kwenye Hospitali ya Millpark nchini Afrika Kusini ambako anapatiwa matibabu zaidi.

James Mbatia: Mbunge anayelia na itikadi za vyama bungeni.

Print PDF

KABLA ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka huu kuliibuka mjadala mkubwa bungeni ambao ulihusu hoja binafsi uliyotolewa na Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-Mageuzi), James Mbatia.

Bunge lisigeuzwe kuwa Mahakama

Print PDF

NAIBU Spika, Job Ndugai, unatupeleka wapi? Tunauliza hivi kwa sababu haijawahi kutokea katika historia ya Bunge letu, polisi kuwakamata, kuwafunga pingu wabunge na kuwapeleka mbele ya Wabunge wenzao kuhojiwa.

Yalisemwa yakapuuzwa sasa yametimia

Print PDF

HIVI karibuni gazeti hili, lilichapisha habari iliyohusu malalamiko ya viongozi wa dini wakidai kuwa wanatishiwa kuuawa kupitia ujumbe mfupi wa maneno kwenye simu zao za mkononi. Kama hiyo haitoshi walieleza kuwa kuna vipeperushi vinavyosambazwa vikitoa vitisho hivyo.

Makala zaidi...

  • Mtatuwinda, mtatujeruhi, mtatuua lakini kamwe hamtumalizi
  • Dk. Nchimbi walau walau…
  • Mhariri Kibanda aumizwa vibaya
  • Mabalozi Ulaya waingilia Zanzibar

Kurasa 8 kati ya 34

Waliotutembelea