*Ubabe, mizengwe vyatawala uchaguzi Anglikana
*Papa aondoka rasmi, maadili yaporomoka
KUANGUKA katika uchaguzi kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Valentine Mokiwa, kunadaiwa kusababishwa ‘mizengwe’ iliyopandikizwa na viongozi wa kanisa hilo.
Rai
Makanisa njia panda
CD za uchochezi zazidi kusambaa
*Ulinzi waimarishwa makanisani Zanzibar
CD za uchochezi zenye kauli ya mkakati wa mauaji ya viongozi wa dini ya Kikristo zimeendelea kusambaa maeneo mbalimbali nchini, huku Jeshi la Polisi likipatwa na kigugumizi kutamka hatua zilizochukuliwa dhidi ya Sheikh Illunga Kapungu, anayedaiwa kutoa kauli za kuhamasisha mauaji ya viongozi wa dini ya Kikristo.
Manispaa Kinondoni matatani
SIKU chache baada ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa ripoti inayotahadharisha migogoro ya ardhi kuleta uvunjifu wa maani nchini, Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa Kinondoni jijini Dar es Salaam, imelaumiwa kukiuka utaratibu kwa kuchukua eneo la wazi (bonde) na kummilikisha kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Tanzania Taifa la tume
WAKATI Watanzania wakiendelea kutafakari janga lililoikumba nchi yetu kutokana na matokeo mabaya kabisa ya mtihani wa Kidato cha Nne tangu tupate Uhuru, Serikali badala ya kuchukua hatua, imeingiza siasa kama kawaida.
Tume iundwe, porojo zisiwepo
NIMEJIFUNZA na kutambua umuhimu wa kiongozi kuwa na msimamo imara, unaosukumwa na ari ya kusema neno analoliamini katika jamii kwa mintaraf ya kulisimamia kwa nguvu na ubavu wa kulielezea kwa kina na utetezi wa hoja mahususi.
Makala zaidi...
- Uhuru, Raila waiokoe Kenya yao
- Siri ya mauaji ya Zanzibar yafichuka
- Fedha za uwekezaji wa Gesi Mtwara shakani
- Ni shule za sekondari au vituo vya kulelea vijana?
Kurasa 10 kati ya 34